Chuo cha Kahama School of Nursing and Midwifery

Chuo cha Kahama School of Nursing and Midwifery Ada, Sifa, Vigezo

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Kahama School of Nursing and Midwifery ni chuo cha serikali kilichoanzishwa tarehe 1 Julai 1977, kilichopo katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Chuo hiki kimesajiliwa kikamilifu na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa namba ya usajili REG/HAS/064. Kinatoa programu ya Uuguzi na Ukunga katika ngazi za NTA 4 hadi 6.
Chuo cha Kahama School of Nursing and Midwifery

Kwa mawasiliano zaidi, unaweza kuwasiliana na chuo kupitia anuani ya posta P.O. Box 235, Kahama, au barua pepe [email protected].

Pia, Kahama School of Nursing and Midwifery ina ukurasa wa Facebook ambapo wanashiriki taarifa na habari mbalimbali.
 
Back
Top Bottom