Coach Fadlu Devi's Azungumza Kuhusu Usajiri Dirisha Dogo Msimbazi

Coach Fadlu Devi's Azungumza Kuhusu Usajiri Dirisha Dogo Msimbazi

Revoo

Member

Reputation: 19%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
169
Dirisha dogo la usajili litafungwa Januari 15 mwakani

Mpaka sasa Fadlu Davids ameuliza kama kuna uwezekano wa kupatikana Kiungo mkabaji asilia mmoja mwenye ubora sawa au zaidi ya Yusuf Kagoma

Simba wanafikiria kufungua mazungunzo na Kiungo mkabaji wa Timu ya Taifa Benin, (26)
379511812_618837780446818_4028765494161129645_n (2).webp


Kocha Fadlu amesisitiza hataki usajili wa kubahatisha na yupo tayari kusubiri mpaka dirisha kubwa la usajili mwezi Julai kwasababu anaamini ni ngumu kupata mchezaji mzuri wakati huu.
FB_IMG_1735469687356.webp


Fadlu amevutiwa na mshambuliaji mzawa, Seleman Mwalimu, Singida Fountain Gate wamegoma kumuachia kwa sasa
Screenshot_20241230-112423~2.webp


Hakuna mpango wowote kwa Simba kumsajili Feisal Salum katika dirisha hili, Simba watajaribu kumsajili mwisho wa msimu✅
FB_IMG_1735476315205.webp


Joshua Mutale jina lake limejadiliwa na maamuzi ameachiwa Kocha mkuu✍️
FB_IMG_1735275291864.webp
 
Back
Top Bottom