L leona New member Reputation: 1% Joined Dec 12, 2024 Messages 4 Mar 24, 2025 #1 Yani hujapokea email ya TRA lakin jinaa limetokaa? L Shida ya email ya TRA M Custom officer II
S Sia Moderator Staff member Reputation: 42% Joined Oct 20, 2024 Messages 353 Mar 24, 2025 #2 leona said: Yani hujapokea email ya TRA lakin jinaa limetokaa? Click to expand... Email zitaanza kutumwa kuanzia siku ya leo mpaka siku ya alhamisi, kumbuka kuna wenzetu ambao hawajachaguliwa wamepewa siku mbili za kukata rufaa. Hivyo endelea kujiandaa huku ukisubiria email ya usaili. Upvote 0 Downvote
leona said: Yani hujapokea email ya TRA lakin jinaa limetokaa? Click to expand... Email zitaanza kutumwa kuanzia siku ya leo mpaka siku ya alhamisi, kumbuka kuna wenzetu ambao hawajachaguliwa wamepewa siku mbili za kukata rufaa. Hivyo endelea kujiandaa huku ukisubiria email ya usaili.