Msaada

Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.

Habari samahani nina shida ya maswali ya usaili ya direct sales staff at DCB Bank
Answers
0
Views
53
Naomba kuuliza. Je kuna majina yoyote yanetoka ( list mpya ya mafunzo ya mwezi wa sita 18- 24
Answers
0
Views
45
jeremia
Nimepata changamoto ya kukamilisha usajili wa profile yangu ambapo nimefika mahali ya kumaliza naweka district blbut wananiambia district is required nifanye nini 0675894971
Answers
1
Views
42
Mushi
Nahitajia msaada wa maswali katika usahili wa nafasi ya HRO
Answers
0
Views
75
Hotti Ramadhan
Msaada Jaman mwenye maswali wanauliza trade officer II
Answers
5
Views
1K
MUSASURA1
Mwenye maswali au notes za community development na social welfare naomba anisaidie jamani
Answers
0
Views
179
catee
Naomba Msaada Community development officer II, maswali ya written yanayoulizwa ni yapi
Answers
0
Views
206
Matanga
Msaada wa maswal ya interview ya land officer ii na notes zitakazonisaidia kujiandaa na interview nashkuru
Answers
0
Views
305
Biusi
Tusaidieni Jaman interview questions za trade officer II ATA Nini na nn tupitie🥹
Answers
0
Views
143
marrah
Naombeni nisaidie maswali ya Secretary katika usahili wa OSHA
Answers
0
Views
103
Leylakwame
Back
Top Bottom