Msaada

Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Naomba kuuliza jinsi ya ku attach vyeti na una attach kwa mpangilio upi na una attach kwenye cv au application letter?
Answers
1
Views
86
Habari I za wkati huu, Mimi ni researcher and consultant, naweza kuandika research proposal, business proposal, report, research papers n.k natafuta Kama Kuna sehemu au kampuni ya kazi hizi...
Answers
0
Views
152
Preacher
DTB Bank Tanzania imetangaza Nafasi za kazi kawa:- (Direct Sales Agent - Personal Loan)- agenti wa mauzo ya moja kwa moja - mkopo wa kibinafsi Awe na Diploma au Degree Tuma maombi kabla ya tarehe...
Answers
0
Views
843
Tintmon
MBEYA CEMENT Imetanagza Nafasi za Ajira kwa:- 1.(LEARNING AND DEVELOPMENT COORDINAT) Mratibu wa mafunzo na maendeleo 2.(MAINTENANCE INSPECTOR) Mtaalamu wa ukaguzi na matengenezo Awe na Degree au...
Answers
0
Views
961
Tintmon
Jamani samahani hivi online interview utumishi zinahitaji mtu ambaye anajua computer sana au hata kama unajua normal tu Ani sio sana mana nimeitwa interview utumishi usaili ni online sijawah...
Answers
4
Views
266
bathon
Kwan ukujiunga na mwananchi hakun charge
Answers
2
Views
120
Yassin
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom