Msaada
Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Naombeni nisaidie maswali ya Secretary katika usahili wa OSHA
Msaada maswali ya land officer yanayoulizwa kwenye interviews za wizara ya Ardhi🙏
Naomba kujua unavyojiunga na ajira portal pale kwenye education level vyeti vya kuambatanisha vinatakiwa kuwa original au copy ambazo zina muhuri wa mwanasheria?
Naomba msaada wa maswali ya oral interview Agricultural engineer II - Civil
Nina swali apa; kwa wale ambao walishafanya interview oral za account huwa wana uliza maswali yapi? au kama kuna mtu Ana baadh I ya maswali ambayo hapo kabla maana mimi ndio mara yangu ya kwaza ivi
Jamani samahanini nilikuwa nauliza Ajira ambazo wamesema watatoa probably wanaweza kuzitangaza lini jmn msaada
Kila nikijalibu kujisajili naambiwa account inactive Sasa naomba msaada nifanyaje
Je una chochote ambacho kama ushauri au kutupa idea kuelekea kwenye usahili huu
Wakuu kuna anaefahamu namna ya kuandika au kama una sample ya kuandika barua ya malalamiko tra naomba
Naomba msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Kigoma Ofisi za Bima ya Afya ziko wapi ni sehemu gani zinapatikana?