Msaada

Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Samahani, Naomba kuuliza kama kuna maswali ya interview TRA kada ya Technician II ( Electrical)
Answers
1
Views
352
Majibu yake ya Hii calculation please tupate mwelekeo
Answers
1
Views
3K
Je unaweza ona jina kwenye list ya waliochaguliwa na bado ukawa hujapokea email ya barua ya namba ya mtihan??
Answers
1
Views
281
Habari hivi kuna ambae hajapokea email ya TRA mpka sahvi?
Answers
2
Views
249
leona
Msaada naweza pata notes za Customs nko kwenye usaili wa custom assistant II
Answers
1
Views
306
1.Nimeweka elimu mfumo wa ajira wa police lakini education status inaandika pending.. je ni kwangu tu au ndo mfumo upo hivyo kwahiyo niendelee tu kutuma maombi..? 2. ukitumia search mode, mfumo...
Answers
1
Views
347
Nili upload kinakosa cheti cha chuo àmbapo kimoja niliweka chenye kuhuri wa mwanasheria na kingine ambacho nimekosea hakina muhuri wa mwanasheria,sasa nimejaribu kufutaa nimeshindwa kwà mda mrefu...
Answers
1
Views
321
Nmechaguliwa kwenye usaili wa tra lkn sijapokea email yenye number ya mtahiniwa kama walivosema kwenye tangazo LA usaili Kuwa Kuna email wametuma Sasa nlikuwa naomba msaada kwa hilo
Answers
2
Views
230
kisambale
Mbona ham post ajira za kada ya records management watunza kumbu kumbu
Answers
1
Views
288
Samahani, hivi kwa haraka haraka maswali ya written interview ya tra yanaweza kuwa ya kuchagua au kujieleza?
Answers
1
Views
267
Back
Top Bottom