Msaada
Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Swali langu ni TRA walisema Kuna barua tutatumiwa kupitia email tutazipataje maana tunapaswa kwenda nazo kwenye usahili
Naomba maswali ya interview kwny data analyst, na ninatakiwa kujua vitu vipi kabla vinavyohusiana na data analyst
Wakuu, nauliza nawezaje pata barua kwaajili ya Usaili wa TRA!? Jina kwenye list nimeliona ila Sijapokea Barua yenye namba ya Usaili kwenye email yangu.
Wanabodi habari za majukum. Napenda kuomba msaada wa maswali yaliyopita ya usaili wa TRA katika kada ya Civil Technician II .Kama itapendeza email yangu ni [email protected] Natanguliza...
Nilimaliza chuo toka 2016 nilitafuta sana ajira sikufanikiwa nikakata tamaa sasa hiv nataka nianze tena kuapply.vip wadau naweza kupata nina degree ya Computer Engineering
Nilijiunga ajira portal mda kidogo ,lakini nilisahau email nilio tumia pamoja na password yake na Sasa nimejalibu kujiunga Tena ,lakin imeniandikia kwamba NID yangu imetumia tayari je ni fanye nn...
Nataka kutuma maombi ya kazi ya police ila nashindwa kuingia kwenye mfumo
Kwa sisi wanafunzi wa bachelor hasa mwaka wa pili inakua ni shida sana kupata nafasi za field kwa wakati. Naomba kujua je ni sector ghani au mashirika ghani ambayo tunaweza pata nafasi hasa kwa...