S Sia Moderator Staff member Reputation: 87% Joined Oct 20, 2024 Messages 776 Apr 27, 2025 #1 Naomba msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Temeke Ofisi za Bima ya Afya ziko wapi ni sehemu gani zinapatikana? S Ofisi za NHIF Bima ya Afya Gongo la Mboto ziko wapi? S Ofisi za NHIF Bima ya Afya Ubungo ziko wapi?
Naomba msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Temeke Ofisi za Bima ya Afya ziko wapi ni sehemu gani zinapatikana? S Ofisi za NHIF Bima ya Afya Gongo la Mboto ziko wapi? S Ofisi za NHIF Bima ya Afya Ubungo ziko wapi?
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,575 Apr 27, 2025 #2 Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Temeke inapatikana Kurasini Bendera Tatu, +255 734 203163 au 0800 111 163 - Kwa kutoa taarifa za siri za udanganyifu dhidi ya Mfuko S.L.P 45777, [email protected] Upvote 0 Downvote
Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Temeke inapatikana Kurasini Bendera Tatu, +255 734 203163 au 0800 111 163 - Kwa kutoa taarifa za siri za udanganyifu dhidi ya Mfuko S.L.P 45777, [email protected]