JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser .
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Sia
Moderator
Staff member
Reputation: 54%
Naomba msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Temeke Ofisi za Bima ya Afya ziko wapi ni sehemu gani zinapatikana?
Gift
Administrator
Staff member
Reputation: 100%
Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Temeke inapatikana Kurasini Bendera Tatu,
+255 734 203163 au
0800 111 163 - Kwa kutoa taarifa za siri za udanganyifu dhidi ya Mfuko S.L.P 45777,
[email protected]
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.