Msaada
Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Msaada swali la how do you ensure the accuracy and timeliness of financial records?
Katika kujaza taarifa application za kazi za jeshi la polisi ,index number za form four zinagoma shida ni nini? Ukianza S3950-0078 inaandika invalid format? Ila ukijaribu s3954/0079 inaseach ila...
Nna tatizo la kuweka index number inagoma kwenye kufanya application za kazi za jeshi la polisi, naomba msaada
Habari Mkuu. Shukrani sana Kwa namna unavyotusaidia. Naomba msaada zaidi wa maswali Na Notice ya ADMINISTRATIVE OFFICER. Natanguliza Shukrani