Msaada
Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Nahitaji kujua kuhusu interview itakayofanyika tarehe 23 April jumatano
Samahani, naomba kuangaliziwa jina langu angela alberto mwapinga ' hydrologists 'nafanyia interview mkoa gani, kwasababu kwenye list ya majina ya interview imeandikwa iringa adress yangu lakini...
Samahn habar mfano nmepangiwa dar kutokana na anwani yangu niliondika lakini Kwa mfano Kwa wakati huu nipo Arusha je naweza kufanyia Arusha ?
Ni mara yangu ya kwanza kufanya usaili wa PSRS, kwenye vituo vya usaili wameandika sehemu kadhaa nataka kujua Kwa upande wa DAR-ES- SALAAM ni sehemu gani usaili unafanyika
Msaada kwa yeyote mwenye nayo maswali ya TAA, mechanical Engineer II
Habari, hii deedpoll kwa upande wa ajira TRA ni kwa wote hata kwa wale wenye kesi kama ya (Nida, birth certificate) - Glory John Kiha na (IV,VI,Chuo na transcript) - Asha .J. Kiha..??
Naomba kupata msaada wa kujua Kwa wale ambao tumeitwa kwenye usaili na hapo mwanzo tuliomba tukiwa maeneo tofaut, vip Kwa Sasa tunaweza fanyia usaili karibu na vituo vilivyotajwa katika mazingira...