Msaada

Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Nmechaguliwa kwenye usaili wa tra lkn sijapokea email yenye number ya mtahiniwa kama walivosema kwenye tangazo LA usaili Kuwa Kuna email wametuma Sasa nlikuwa naomba msaada kwa hilo
Answers
2
Views
192
kisambale
Mbona ham post ajira za kada ya records management watunza kumbu kumbu
Answers
1
Views
204
Samahani, hivi kwa haraka haraka maswali ya written interview ya tra yanaweza kuwa ya kuchagua au kujieleza?
Answers
1
Views
233
Swali langu ni TRA walisema Kuna barua tutatumiwa kupitia email tutazipataje maana tunapaswa kwenda nazo kwenye usahili
Answers
1
Views
188
Naomba maswali ya interview kwny data analyst, na ninatakiwa kujua vitu vipi kabla vinavyohusiana na data analyst
Answers
0
Views
217
ANNA ALEX
Wakuu, nauliza nawezaje pata barua kwaajili ya Usaili wa TRA!? Jina kwenye list nimeliona ila Sijapokea Barua yenye namba ya Usaili kwenye email yangu.
Answers
0
Views
157
Tonny1
Wanabodi habari za majukum. Napenda kuomba msaada wa maswali yaliyopita ya usaili wa TRA katika kada ya Civil Technician II .Kama itapendeza email yangu ni [email protected] Natanguliza...
Answers
4
Views
1K
Slim Ndago
Nilimaliza chuo toka 2016 nilitafuta sana ajira sikufanikiwa nikakata tamaa sasa hiv nataka nianze tena kuapply.vip wadau naweza kupata nina degree ya Computer Engineering
Answers
1
Views
254
Nilijiunga ajira portal mda kidogo ,lakini nilisahau email nilio tumia pamoja na password yake na Sasa nimejalibu kujiunga Tena ,lakin imeniandikia kwamba NID yangu imetumia tayari je ni fanye nn...
Answers
4
Views
535
Nataka kutuma maombi ya kazi ya police ila nashindwa kuingia kwenye mfumo
Answers
1
Views
242
Back
Top Bottom