Ninaomba unisaidie link ya maswali au notsi za data management officer (data analyst and data engineer) pamoja na risk officer kwa ajili ya interview ya TRA
1.Nimeweka elimu mfumo wa ajira wa police lakini education status inaandika pending.. je ni kwangu tu au ndo mfumo upo hivyo kwahiyo niendelee tu kutuma maombi..? 2. ukitumia search mode, mfumo...