Msaada

Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Kwenye mfumo wa ajira za polisi sioni sehemu yakuweka affidavity yangu maana Jina la vyeti na lanida yapo tofauti naomba mwenye kujua namna yakutatua changamoto hii
Answers
1
Views
87
Naomba kujua maswali yanayo ulizwa kwenye kada ya udereva upande wa written interview
Answers
1
Views
272
Ninaomba unisaidie link ya maswali au notsi za data management officer (data analyst and data engineer) pamoja na risk officer kwa ajili ya interview ya TRA
Answers
1
Views
344
mbona fani ya lishe sijaiona ko takuwa sina sifa ya kuomba?
Answers
1
Views
91
Yani hujapokea email ya TRA lakin jinaa limetokaa?
Answers
1
Views
213
Samahani, Naomba kuuliza kama kuna maswali ya interview TRA kada ya Technician II ( Electrical)
Answers
1
Views
192
Majibu yake ya Hii calculation please tupate mwelekeo
Answers
1
Views
3K
Je unaweza ona jina kwenye list ya waliochaguliwa na bado ukawa hujapokea email ya barua ya namba ya mtihan??
Answers
1
Views
150
Habari hivi kuna ambae hajapokea email ya TRA mpka sahvi?
Answers
2
Views
111
leona
Msaada naweza pata notes za Customs nko kwenye usaili wa custom assistant II
Answers
1
Views
214
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom