Msaada

Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Naomben msaada wa maswali ya laboratory assistant
Answers
0
Views
125
Mwenye maswali ya mkaguzi daraja la II msaada ya NAOT
Answers
0
Views
159
Fortune
Naomba maswali ya mechanical technician kwenye written interview
Answers
0
Views
144
malama216
Unaweza kujiamulia mwenyewe kufanya mtihani wa usahili kwa kanda yoyote au lash!? Kwa mfano kipindi unafanya maombi ya kazi ulikua kanda nyingine na anuani ya ulipo ikawa ya kanda husika,ila baada...
Answers
2
Views
500
malama216
Nataka kubadilisha diet yangu ili niwe na moyo bora. Je, ni vyakula gani mnashauri kuepuka au kula kila siku?”
Answers
0
Views
130
Daniella_tz
Habarin za mda huu,naomba kujiunga na group la wahasibu,au kma kuna mahali wana fundisha accoumt software,msaada
Answers
1
Views
248
Answers
2
Views
279
Naomba kuuliza namna ya kujiunga na ma group ya Whatsapp ya ajira. Mimi nimesoma bachelor's degree in adult education and community development. Asanteni 🙏
Answers
0
Views
713
Almasi Lukindo
Mbona mfumo unatulazimisha nitumie namba ya form four alafu form four nina 4 ya 26 wakati form six nina division one naomba msaada nitumie matokeo yangu ya form six
Answers
1
Views
244
Mbona form six inagoma jaman
Answers
3
Views
305
Back
Top Bottom