Nina shida kwenye mfumo

Nina shida kwenye mfumo

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Mbona mfumo unatulazimisha nitumie namba ya form four alafu form four nina 4 ya 26 wakati form six nina division one naomba msaada nitumie matokeo yangu ya form six
Anza kujaza kwa form four kisha form six. Tumia mfumo wa NS yaani anza na NS123/123/2000 Kama hivyo usianze na S au SN anza na NS...
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom