JE MAOMBI KAMA HAYA YA KIPENGELE CHA NON SKILLED WORKERS YANATUMWAJE IKIWA HAUNA UJUZI WOWOTE ULE CV YAKO INAKUAJE NA UNAAMBATANISHA NINI NA NINI KATIKA ILI TANGAZO KWA YULE AMBAE HANA UJUZI...
HIVI HUWA MNAPOST KAZI ZA WATU WALIOSOMEA FANI ZA UMEME KUTOKA VYUO VYA VYETA KWA NGAZI ZA LEVEL TWO AU THREE? NA KAMA HUWA MNAPOST JE HUWA MNAPOST ZA MASHIRIKA YA SERIKALI PIA AU BINAFSI TU? Kwa...
Naomba kuuliza kuhusu swala la majina kwenye vyeti vyote natumia AMINA SAID ALLY lakini kwenye cheti cha kuzaliwa jina la baba ni SAID MAKATA ALLY mimi natumia jina la baba na la ukoo je hii...
Habari I za wkati huu, Mimi ni researcher and consultant, naweza kuandika research proposal, business proposal, report, research papers n.k natafuta Kama Kuna sehemu au kampuni ya kazi hizi...
Naomba kujua unavyojiunga na ajira portal pale kwenye education level vyeti vya kuambatanisha vinatakiwa kuwa original au copy ambazo zina muhuri wa mwanasheria?
DTB Bank Tanzania imetangaza Nafasi za kazi kawa:- (Direct Sales Agent - Personal Loan)- agenti wa mauzo ya moja kwa moja - mkopo wa kibinafsi Awe na Diploma au Degree Tuma maombi kabla ya tarehe...
MBEYA CEMENT Imetanagza Nafasi za Ajira kwa:- 1.(LEARNING AND DEVELOPMENT COORDINAT) Mratibu wa mafunzo na maendeleo 2.(MAINTENANCE INSPECTOR) Mtaalamu wa ukaguzi na matengenezo Awe na Degree au...
Jamani samahani hivi online interview utumishi zinahitaji mtu ambaye anajua computer sana au hata kama unajua normal tu Ani sio sana mana nimeitwa interview utumishi usaili ni online sijawah...