Nimemaliza chuo nipo mtaani,nataka akutafuta kazi lakin Nina GPA ya 3.4 wameniandikia ni lower second class .je hapo Kuna uwezekano wa mm kuomba kazi na nikapata.
Habari za asubuhi kiongoz. Samahani! Naomba unisaidie kujua ni wapi VOCATIONAL TUTOR II (COMMUNICATION SKILLS) aliyepo mkoa wa Geita (Current addres) atafanya usaili wa KUANDIKA. NATANGULIZA...
Habari za majukum wadau. Natanguliza shukran kwa yeyote atakayefanikisha upatikanaji wa maswali ya usahili ya TBS nafasi ya Civil Technician II. Japo muundo wa maswali yao yanakuaje Mungu...
CV kwa ajili ya students qmbaye ajamaliza bado masomo ndo finalist so how can prepare the CV pamoja na cover later on qpplication of different intenships and graduate program