He'll napenda kuliza unayapataje matangazo ya kazi kwa mfumo wa barua. Kwa sababu mara nyingi inatumwa link lakini ukibonyeza haiji moja kwa moja barua isipokuwa yanakuja malekezo tu ambayo...
Nimemaliza chuo nipo mtaani,nataka akutafuta kazi lakin Nina GPA ya 3.4 wameniandikia ni lower second class .je hapo Kuna uwezekano wa mm kuomba kazi na nikapata.