1.Nimeweka elimu mfumo wa ajira wa police lakini education status inaandika pending.. je ni kwangu tu au ndo mfumo upo hivyo kwahiyo niendelee tu kutuma maombi..? 2. ukitumia search mode, mfumo...
Nmechaguliwa kwenye usaili wa tra lkn sijapokea email yenye number ya mtahiniwa kama walivosema kwenye tangazo LA usaili Kuwa Kuna email wametuma Sasa nlikuwa naomba msaada kwa hilo