Naomba kujua unavyojiunga na ajira portal pale kwenye education level vyeti vya kuambatanisha vinatakiwa kuwa original au copy ambazo zina muhuri wa mwanasheria?
Nina swali apa; kwa wale ambao walishafanya interview oral za account huwa wana uliza maswali yapi? au kama kuna mtu Ana baadh I ya maswali ambayo hapo kabla maana mimi ndio mara yangu ya kwaza ivi