Samahani naomba kujua kama kuna uwezekano wa kupangiwa kituo kingine cha usaili kama mtu yupo mbali na kituo hicho mfano amepangiwa KAGERA alfu yeye yupo dar es salaam
Me naomba kuuliza kama kuna link za magroup ya Whatsapp KADA a assistant accountant ii. Hatuwezi pata link tuka join tupate mawili matatu wengine ndo mala ya kwanza kuitwa.