Msaada
Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
- Solved
Samahani kiongozi, Hivi ikiwa nilifanya usaili wa Tutorial Assistant nikafanikiwa kufika Oral lakini sikupata kazi hiyo. Je, jina langu linabaki katika kanzi data za utumishi?
Naomba kujua matangazo ya kazi za ujenzi nanyamba tc niweze kuyafiķia
sorry kwnye akaunt yangu y magereza nimekuta not shortlisted nikwamba sijachagulia??
Kuna kazi ya certificate ya account, Shirika la mizinga walilolitoa lakini kila nikijaribu ku-apply inagoma na ikiwa nina vigezo vyote vya kuomba
Status ya account yang inasema received ina takriban miez 2 au 1 hv tangia niombe hili lipo vip?
Msaada mfumo wa zimamoto Msaada
Habari..naomba kuuliza nimecreate email kwenye mfumo wa zimamoto lakini email hiyo inaonekana haipo kwahiyo nashindwa kuingia na kuverify link .. nifanyaje???