Msaada

Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Habari. Una maswali ya laboratory officer maana sijayaona kwenye pdf zote?
Answers
0
Views
110
madoh madoh
Msaada wa maswali ya Estate officer II TRA, based on the past interview questions
Answers
3
Views
457
Miss Kim
Samahani naomba kujua kama kuna uwezekano wa kupangiwa kituo kingine cha usaili kama mtu yupo mbali na kituo hicho mfano amepangiwa KAGERA alfu yeye yupo dar es salaam
Answers
0
Views
100
repinussotery
Habari ...msaada wa maswali ya Public relations.asante
Answers
1
Views
259
Naomba unitumie maswali ya record Management Assistant yanayoweza kutoka kwenye usaili TRA
Answers
1
Views
774
Naombeni msaada kwenye kujaza index no. Inakataaa natakiwa niandikaje
Answers
2
Views
251
Me naomba kuuliza kama kuna link za magroup ya Whatsapp KADA a assistant accountant ii. Hatuwezi pata link tuka join tupate mawili matatu wengine ndo mala ya kwanza kuitwa.
Answers
0
Views
184
Fidelis mwageni
Naomba kupata maswali na majibu ya calculation ya custom officer
Answers
2
Views
573
Ms nancie
Back
Top Bottom