- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 192
Florent Ibenge ni miongoni mwa Makocha wa kisasa ambao huwa wanaacha matokeo ya uwanjani yaongee zaidi kuliko yeye ndio maana mtego wake wa kwanza huwa ni kuwaheshimu wapinzani wake.
Mechi ya kwanza na Yanga hapa Dar aliwaheshimu Yanga nje na ndani ya uwanja...Yanga wakajisahau, wakamuona ni rafiki yao na akawasahaulisha kuwa serious kwenye mchezo muhimu mwisho wake akawapasua hapa hapa nyumbani!
Wakati Ibenge na wakina Ali Kamwe na Privaldinho wakifurahi pamoja na kusema Simba huwa wanaweka vitu kwenye dressing room nk Kocha wa Tabora United Anicet Kiazmak alikuwa kwenye treni akitokea Tabora.
Kumbuka Kiazmak aliwahi kufanya kazi pamoja na Ibenge wakiwa Al Hilal hivyo alimwamini kwenye angle ya uchambuzi wa kimbinu...Yanga akapasuka kweli.
Nini nataka kusema...?
Ibenge huwa anajificha kwenye mwamvuli wa heshima na tabasamu kwa wapinzani ila ndani yake huwa anajiandaa kushinda kila mchezo.
Yanga wasibweteke wakaona itakuwa rahisi kwasababu kawasifia...huyu Mzee hacheki na wowoote!