Fomu ya Kujiunga na Chuo cha VETA Arusha VTC. Nafasi yako itapewa Mtanzania mwingine ukishindwa kufika chuoni ndani ya wiki mbili (2) kuanzia tarehe ya kufungua chuo. Unatakiwa kufika chuoni kabla ya saa 10:00 Alasiri.
a. Mashati mawili meupe (mikono mifupi) ya tetroni.
b. Suruali 2pc rangi ya blue (zinapatikana chuoni).
c. Jozi moja ya viatu vyeusi vya ngozi.
d. Vifaa vya hesabu (mathematical set), kalamu na penseli.
e. Daftari 8 aina ya counter book 4 quire.
f. Sweta moja ya bluu, mavazi ya heshima, na vifaa vya usafi binafsi.
g. Ovaroli/Ovakoti rangi ya blue (yanapatikana chuoni).
h. Bima ya Afya NHIF (NI LAZIMA KWA KILA MWANAFUNZI).
i. Godoro kwa wanafunzi wa bweni (kipimo mita 2.5).
j. Photocopy paper (ream 1).
k. Fyekeo/Panga, mfagio mgumu (hard broom), rubber squeezer, mfagio laini (soft broom).
l. Blanketi, mashuka 2 rangi ya blue, neti ya mbu, sahani, ndoo ya kuogea/kufulia, kikombe, na kijiko.
Nakala ya sheria na kanuni imeambatanishwa na barua hii.
Muda wa Mafunzo
Mafunzo yamepangiliwa katika hatua tatu:- Hatua ya Kwanza(Level I)
- Hatua ya Pili(Level II)
- Hatua ya Tatu na ya Mwisho(Level III)
Sifa Zako
Unatakiwa kuja na cheti halisi cha Darasa la Saba/Kidato cha Nne (original academic certificate/result slip) na nakala yake (photocopy).- Baada ya cheti kuthibitishwa na Msajili/Dawati la Kujiandikisha, utaruhusiwa kuondoka na cheti chako halisi huku nakala ikibaki chuoni kwa kumbukumbu.
Kumbuka: Living Certificate/Copy havikubaliki.
Mahitaji Maalum
Unatakiwa kununua vifaa vifuatavyo kwa matumizi yako binafsi ukiwa chuoni. Kila mwanafunzi anaelekezwa kuzingatia na kutekeleza maelekezo haya:a. Mashati mawili meupe (mikono mifupi) ya tetroni.
b. Suruali 2pc rangi ya blue (zinapatikana chuoni).
c. Jozi moja ya viatu vyeusi vya ngozi.
d. Vifaa vya hesabu (mathematical set), kalamu na penseli.
e. Daftari 8 aina ya counter book 4 quire.
f. Sweta moja ya bluu, mavazi ya heshima, na vifaa vya usafi binafsi.
g. Ovaroli/Ovakoti rangi ya blue (yanapatikana chuoni).
h. Bima ya Afya NHIF (NI LAZIMA KWA KILA MWANAFUNZI).
i. Godoro kwa wanafunzi wa bweni (kipimo mita 2.5).
j. Photocopy paper (ream 1).
k. Fyekeo/Panga, mfagio mgumu (hard broom), rubber squeezer, mfagio laini (soft broom).
l. Blanketi, mashuka 2 rangi ya blue, neti ya mbu, sahani, ndoo ya kuogea/kufulia, kikombe, na kijiko.
Ada
Ada ya bweni na kutwa kwa mwaka inajumuisha pia gharama ya vitu vilivyoorodheshwa kwenye jedwali lililoambatanishwa. Tafadhali zingatia maelekezo unayopewa katika ulipaji wa ada yako.Sheria za Chuo
Chuo cha VETA Arusha kinazo Sheria na Kanuni kwa mujibu wa muongozo uliotolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania (VETA).Nakala ya sheria na kanuni imeambatanishwa na barua hii.
Attachments