Fomu ya Kujiunga na Chuo cha VETA TANGA RVTSC

Fomu ya Kujiunga na Chuo cha VETA TANGA RVTSC

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,648
Hii hapa Fomu ya Kujiunga na Chuo cha VETA TANGA RVTSC, Ili kufanikisha mafunzo ya ufundi kila mwanafunzi anatakiwa kufuata sheria zifuatazo:-

Kila mwanafunzi anatakiwa kufika chuoni saa 1:30 asubuhi. Hii ina maana ifikapo saa 1:30 wanafunzi wote wawe wameshafika chuoni. Adhabu kali itatolewa kwa wachelewaji.
Fomu ya Kujiunga na Chuo cha VETA TANGA RVTSC

Mwanafunzi hatakiwi kutoka nje ya chuo kwenda nyumbani, hospitali au sehemu nyingine yoyote ile bila ya kuruhusiwa na mwalimu (mkuu wa sehemu).

Mwanafunzi apatapo matatizo ya msiba, kuuguliwa au kuugua mwenyewe ni lazima habari/taarifa zifike kwa mwalimu (mkuu wa sehemu) bila ya kufanya hivyo ni kosa.

Mahudhurio chini ya 85% mwanafunzi hataruhusiwa kufanya mitihani yake ya kuhitimu.

Pakua PDF hapa chini
 

Download PDF

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom