Ibrahim Parapanda Ni Mali Ya Fountain Gate Fc Kwa Mkopo

Ibrahim Parapanda Ni Mali Ya Fountain Gate Fc Kwa Mkopo

Revoo

Member

Reputation: 21%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
182
Klabu ya fountain gate fc Imemtambulisha Mlinda lango wao Mpya Ibrahim Parapanda
FB_IMG_1736341537732.webp

Ibrahim parapanda amejiunga na klab ya Fountain Gate kwa mkataba wa Mkopo akitokea singida black star

Parapanda alikuwa nje ya kikosi cha Singida Black Stars kutokana na Majukumu ya Kijeshi, Sasa amemaliza na ametambulishwa na Waajiri wake hao wapya kwa Mkopo,
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom