Eric Sekuo Chelle Kocha Mpya Timu Ya Taifa Nigeria Leo

Eric Sekuo Chelle Kocha Mpya Timu Ya Taifa Nigeria Leo January 08, 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Shirikisho la mpira wa miguu nchini Nigeria 🇳🇬 NFF limetangaza bwana Eric Sekuo Chelle kuwa kocha wa timu ya taifa hilo.
FB_IMG_1736326521428.webp

Kabla ya kuchaguliwa kuwa kocha wa taifa hilo aliwahi kuifundisha timu ya taifa la mali kuanzia mwaka 2022 Hadi 2024.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom