G

Je ni sahihi Ajira za Walimu kuwekwa kando mpaka January 2025?

Mimi naona muda wa Mungu ni muda sahihi. Hata kama sio kwa sasa ila watakapotangaza hilo tangazo lao basi ndo utakuwa muda sahihi kabisa kwa kila mtu.
 
Twambie, Je ni sahihi Ajira za Walimu kuwekwa kando mpaka January 2025?
Sio sahihi kwani tumekuwa na shauku kubwa ya kutaka kujua Kila mtu atakuwa pande gani mara tu baada ya mchakato kukamilika na mengine yaendelee, kada zingine wanaitwa Usaili unafanyika wanaitwa kazini Kwa walimu Nini shida? Inachosha na kukatisha tamaa hata kushusha hadhi ya kada hii na kisahau wote wenye elimu wamepita Mikononi mwa mwalimu
 
Mimi naona muda wa Mungu ni muda sahihi. Hata kama sio kwa sasa ila watakapotangaza hilo tangazo lao basi ndo utakuwa muda sahihi kabisa kwa kila mtu.
Bora ingekuwa nafasi ni nyingi lakin ajira elf11 ni chache kulinganisha na idadi ya wanaenda kushindanishwa hivyo kucheleweshwa Kwa zoezi hadi mwakani sio sahihi kabisa
 
if the space is there, it's just there. even if the time is late, the time will come and we will be hired. Age also goes away, those in offices will only get old 🤣
 
Back
Top Bottom