G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,320 Dec 17, 2024 #1 Ebu ongea ungependa kianze nini ikiwa umemaliza Chuo tu. Ni hatua gani itaanza katika safari yako ya maisha baada ya masomo Nyumba Gari Ndoa Ajira Kujiajiri Chagua namba na sema kwa nini. G Je ni sahihi Ajira za Walimu kuwekwa kando mpaka January 2025? Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) December 2024
Ebu ongea ungependa kianze nini ikiwa umemaliza Chuo tu. Ni hatua gani itaanza katika safari yako ya maisha baada ya masomo Nyumba Gari Ndoa Ajira Kujiajiri Chagua namba na sema kwa nini. G Je ni sahihi Ajira za Walimu kuwekwa kando mpaka January 2025? Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) December 2024
S Sia Moderator Staff member Reputation: 44% Joined Oct 20, 2024 Messages 372 Dec 17, 2024 #2 4. Ajira, kwa sababu ajira ni ajira tu asikwambie mtu. Upvote 1 Downvote
U Upendo Gabriel New member Reputation: 1% Joined Nov 7, 2024 Messages 1 Dec 17, 2024 #3 Gift said: Ebu ongea ungependa kianze nini ikiwa umemaliza Chuo tu. Ni hatua gani itaanza katika safari yako ya maisha baada ya masomo Nyumba Gari Ndoa Ajira Kujiajiri Chagua namba na sema kwa nini. Click to expand... Ajira Kwa sababu nikipata ajira nitaweza kupata pesa ya kufanya biashara na kuwekeza katika fursa zingine na kuajiri wengine Upvote 0 Downvote
Gift said: Ebu ongea ungependa kianze nini ikiwa umemaliza Chuo tu. Ni hatua gani itaanza katika safari yako ya maisha baada ya masomo Nyumba Gari Ndoa Ajira Kujiajiri Chagua namba na sema kwa nini. Click to expand... Ajira Kwa sababu nikipata ajira nitaweza kupata pesa ya kufanya biashara na kuwekeza katika fursa zingine na kuajiri wengine
amour New member Joined Dec 18, 2024 Messages 3 Dec 18, 2024 #4 5/4 Nyumba unajengaje sasa apo lazima kujitafuta kwanza aisee vingine vitafaatia baadae...always we start at kuajiriwa baadae kujiajiri baadae vyote vinafaata ila ndoa haina mda maalumu Upvote 0 Downvote
5/4 Nyumba unajengaje sasa apo lazima kujitafuta kwanza aisee vingine vitafaatia baadae...always we start at kuajiriwa baadae kujiajiri baadae vyote vinafaata ila ndoa haina mda maalumu