Hii ni taarifa ya Wanafunzi wote wa kidato cha Tano 2024 sasa unaweza kubadili Tahasusi(Combination) uliyochaguliwa iwapo utakuwa unataka kusoma kitu kingine tofauti na chaguo la awali.
Bofya kuingia katika eneo hilo ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya shule za form V na tahsusi zake: KUMBUKA– Mwanafunzi ataona Possible combinations tu na shule kutokana na ufaulu wa matokeo yake kwa lengo la kubadilisha.
Jinsi ama namna ya kupata maelekezo ya kubadilisha combination tafadhari bofya hapa chini.
drive.google.com
selform tamisemi go tz 2025 registration online