Namna ya kujua kujibu swali utakalo ulizwa kwenye Interview yoyote ile wakitaka ujitambulishe basi usikurupuke tu utajikosesha kazi. Fata huu mwongozo panga maneno yako vizuri jiweke sawa.
Kama una njia nyingine unaweza ongezea hapa wakuu.
Kama una njia nyingine unaweza ongezea hapa wakuu.