Kupata Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN), maarufu kama Namba ya NIDA, ni hatua muhimu kwa kila Mtanzania. Namba hii hutumika katika huduma mbalimbali kama vile kusajili laini ya simu, kufungua akaunti ya benki, kupata huduma za afya, na nyingine nyingi. Zifuatazo ni njia kuu za kupata Namba ya NIDA:
Huduma kwa wateja nida
Namba ya huduma kwa wateja NIDA Tanzania
Kupitia Mtandao (Online)
Ikiwa tayari umejisajili na NIDA lakini hujui Namba yako ya NIDA, unaweza kuipata kwa njia ya mtandao kwa kufuata hatua hizi:- Tembelea tovuti rasmi ya NIDA: https://services.nida.go.tz/get_nin.
- Jaza taarifa zako binafsi:
- Jina la Kwanza
- Jina la Mwisho
- Tarehe ya Kuzaliwa (kwa muundo wa DD-MM-YYYY)
- Jina la Kwanza la Mama
- Jina la Mwisho la Mama
- Jaza neno la usalama (captcha) linaloonekana kwenye ukurasa.
- Bonyeza "Tuma" ili kupata Namba yako ya NIDA.
Huduma kwa wateja nida
Namba ya huduma kwa wateja NIDA Tanzania
Namba ya huduma kwa wateja NIDA Tanzania
Call Center
Mfumo wa Maombi ya Ajira Polisi Tanzania (Jinsi ya kutuma)
ajira.tpf.go.tz 2025