Hizi hapa hatua kwa hatua Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi JWTZ Maombi yote yaandikwe kwa mkono na yawasilishwe Makao Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia tarehe 01 Mei, 2025 hadi tarehe 14 Mei, 2025 yakiwa na viambatisho vifuatavyo:
a. Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA.
b. Nakala ya cheti cha kuzaliwa, vyeti vya Shule na Chuo.
c. Nakala ya cheti cha JKT kwa waombaji waliomaliza mkataba wa kujitolea.
d. Nambari ya simu ya mkononi ya mwombaji.
Maombi yatumwe kwa Anuani Ifuatayo:
Mkuu wa Utumishi Jeshini
Makao Makuu ya Jeshi,
Sanduku la Posta 194,
DODOMA, Tanzania

Nafasi za Kazi Dar Ceramica Centre
1-05-2025