Jinsi ya kutuma maombi Uhamiaji Ajira Hizi hapa hatua kwa hatua Jinsi ya Kujisajili Uhamiaji Recruitment Portal | Jinsi ya Kujiunga na kutuma maombi Ajira za Immigration, Jinsi ya kufungua akaunti (Account) katika nafasi zilizo tangazwa leo na Idara ya Uhamiaji Tanzania Disemba 29, 2025.
Mfumo wa Uajiri wa Uhamiaji
Mfumo huu umetengenezwa ili kurahisisha mchakato wa uajiri kwa kupunguza muda na juhudi zinazotumika kwenye hatua za mwongozo katika TISD.
Mfumo wa Uajiri wa Uhamiaji
Mfumo huu umetengenezwa ili kurahisisha mchakato wa uajiri kwa kupunguza muda na juhudi zinazotumika kwenye hatua za mwongozo katika TISD.
- Bonyeza hapa kutuma maombi
- Bonyeza kupakua mwongozo kwa lugha ya kingereza
- Kujisajili Uhamiaji
- Kufungua akaunti uhamiaji
Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo la 29 Disemba 2025
Nafasi Immigration
Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji Recruitment Portal
e-recruitment PDF