Jinsi ya Kutuma maombi ya Kujiunga na Chuo cha Mipango Tanzania

Jinsi ya Kutuma maombi ya Kujiunga na Chuo cha Mipango Tanzania IRDP 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Jinsi ya kutuma maombi na kuomba kusoma chuo cha mipango Tanzania Karibu katika Mfumo wa Maombi Mtandaoni wa IRDP (OAS) 2025 Tafadhali soma na kuelewa vigezo vya udahili kabla ya kuanza mchakato wa maombi. Tumia kitabu cha muongozo cha TCU kuchagua programu halali.
Ada za maombi na usajili hazihamishiki wala hazitarejeshwa.

Hatua za Kutuma Maombi na Maelekezo

Hatua ya 1: Soma Mwongozo na Vigezo vya Udahili
Hatua ya 2: Tumia namba ya mtihani wa kidato cha nne au namba mbadala kufungua akaunti
Hatua ya 3: Chagua kwa uangalifu kundi la mwombaji na sifa za kuingilia (Ada ya maombi italipwa kulingana na uchaguzi na haitarejeshwa)
Hatua ya 4: Jaza taarifa zako binafsi
Hatua ya 5: Weka matokeo yote ya kidato cha nne (inahitajika kwa waombaji waliofanya mtihani mara zaidi ya moja)
Hatua ya 6: Ongeza sifa nyingine zinazohitajika
Hatua ya 7: Chagua angalau programu 3 zilizo halali kwa mujibu wa kitabu cha muongozo
Hatua ya 8: Kagua maelezo yako yote ya maombi na wasilisha ili kukamilisha maombi

Kwa msaada au maswali, tafadhali wasiliana na namba za msaada zilizo hapa chini.
Jinsi ya Kutuma maombi ya Kujiunga na Chuo cha Mipango Tanzania
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom