Kazi Itakua Kubwa Endapo Simba Atamaliza Nafasi Ya Pili Kwenye Kundi Lake TotalEnergies CAFCC

Kazi Itakua Kubwa Endapo Simba Atamaliza Nafasi Ya Pili Kwenye Kundi Lake TotalEnergies CAFCC 2024/2025

Revoo

Member

Reputation: 19%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
169
SIMBA SC endapo wakimaliza nafasi ya pili kwenye kundi kuna hati hati ya kukutana na timu zifuatazo ambazo zinanafasi kubwa ya kumaliza kama vinara kwenye makundi yao.
FB_IMG_1736189807506.webp

Rs Berkane(Moroco)
USM Alger(Algeria)
Zamalek(Misri)

Vitu viwili kuzihusu hizi timu mbili.

1. Timu zote hizi tatu ni Recent champions wa Kombe la shirikisho kwenye misimu mitatu iliyopita.

Rs Berkane walikua champions 2021/22, USM Alger walikua champions 2022/23 na Zamalek walikua champions msimu uliopita 2023/24.

2. Timu hizi zote zinatoka ukanda mgumu sana kupata matokeo ambapo Simba tangu arejee kwenye ubora wake kwenye michuano ya CAF amepasuka mara zote isipokua jana.

Ikumbukwe pia Kama simba atamaliza nafasi ya pili kwenye kundi ataanzia nyumbani kisha kumalizia ugenini.

Nazani njia pekee ya Simba kupenya hatua ya Robo na kuingia Nusu Fainal ni kuikwepa hii miamba mitatu kwa kumaliza nafasi ya kwanza kwenye kundi nje na hapo jina MWAKAROBO litaendelea kutuandama.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom