Chama Arejea Yanga Kuelekea Mchezo Wa Michezo Ya Kilabu Bingwa Africa TotalEnergies CAFCL

Chama Arejea Yanga Kuelekea Mchezo Wa Michezo Ya Kilabu Bingwa Africa TotalEnergies CAFCL 2024/2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Wakati Yanga wamewaka kwenye game hizi tano za mwisho …. Chama Clatous anarejea mazoezini kuongeza nguvu kwenye eneo la namba 10.

Ramovic kikosi chake kinazidi kuwa kipana, wachezaji wenye majeraha wanaanza kurejea kwenye nyakati muhimu.
FB_IMG_1736275329405.webp

Ni nyakati ambazo hazitakuwa na Excuse yeyote.…. Muhimu ni Alama 3 kwenye michezo miwili ya CAFCL.
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom