- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
KIKOSI Cha Simba SC vs Singida Black Stars Leo 28 December 2024
Klabu ya Simba SC itakuwa ugenini kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars FC.
Mchezo huo utapigwa December 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti Mkoani Singida.
Kuelekea mchezo huo, Wananchiforum itakuletea Kikosi Cha Simba Sports Club kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars FC.