Kikosi Cha Simbasc vs Cs Sfaxien Leo January 05, 2025 TotallyEnergyCAFCC 2024/2025

Kikosi Cha Simbasc vs Cs Sfaxien Leo January 05, 2025 TotallyEnergyCAFCC 2024/2025

Revoo

Member

Reputation: 19%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
169
KIKOSI Cha Simba Sports Club Dhidi Ya Cs Sfaxien Leo January 05, 2025 TotallyEnergyCAFCC
FB_IMG_1736064154686.webp

Klabu ya Simba itakuwa ugenini Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Ya Shirikisho Africa CAFCC dhidi ya Cs Sfaxien ya Tunisia.

Mchezo huo utapigwa Leo January 05, 2025 kwenye Uwanja wa stade Rades Tunis nchini Tunisia saa moja kamili jioni.

Kuelekea mchezo huo, Wananchiforum itakuletea Kikosi Cha Simba Sports Club kinachoanza dhidi ya Cs Sfaxien.
 
Back
Top Bottom