- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 194
Klabu ya Young Africans imekamilisha usajili wa Winga Jonathan IkangaLombo
akitokea AS Vita Club katika dirisha hili dogo la uhamisho
Jonathan IkangaLombo amesaini mkataba wa miaka miwili hii leo na muda wowote kuanzia hivi sasa atapewa vifaa vya mazoezi katika klabu hiyo.
Ikangalombo atakwenda kuchukua nafasi ya Jean Baleke ambae kashindwa kutamba kakika Kikosi hicho Cha Kariakoo Young African.