Kitabu hiki kimeandaliwa ili kumwezesha mkufunzi na mwanachuo wa ualimu ngazi ya cheti kuelewa mambo muhimu ya kufundisha na kujifunza. Kuandaliwa kwa muhtasari huu kunatokana na uamuzi wa serikali wa mwaka 2008 wa kuimarisha mafunzo ya ualimu ili kuwajengea walimu na wanafunzi ujuzi na uelewa wa kutosha katika somo la ualimu. Ili kutimiza azima hii ya serikali, muhtasari huu umeandaliwa ili kumwezesha mwanachuo kupata fursa ya kuelewa mambo muhimu nay a msingi kuhusu elimu na kazi ya ualimu.
Muhtasari huu unachukuwa nafasi ya mihtasari ya masomo manne ya ualimu ya mwaka 2003 ambayo ni;
Muhtasari huu unachukuwa nafasi ya mihtasari ya masomo manne ya ualimu ya mwaka 2003 ambayo ni;
- Misingi ya elimu
- Mitaala na ufundishaji
- Upimaji, tathimini na utafiti
- Saikolojia ya elimu
Attachments