Kocha mkuu wa Orlando Pirates, Jose Riveiro, amesema Al Ahly wajipange

Habari za Michezo Kocha mkuu wa Orlando Pirates, Jose Riveiro, amesema Al Ahly wajipange

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 77%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
502
"Kutakuwa na joto la nyuzi 34 au 35 hapa Orlando wakati wa kuanza mechi kesho, hivyo tutacheza mchezo chini ya hali sawa. Hakuna visingizio kwa Orlando Pirates wala Al Ahly."
Kocha mkuu wa Orlando Pirates, Jose Riveiro, amesema Al Ahly wajipange

#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
 
Back
Top Bottom