Kozi zitolewazo kwa ngazi ya Astashahada ya Msingi Chuo cha Mipango

Kozi zitolewazo kwa ngazi ya Astashahada ya Msingi Chuo cha Mipango IRDP 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hizi hapa Kozi zitolewazo kwa ngazi ya Astashahada ya Msingi Chuo cha Mipango

Basic Technician Certificates (Astashahada za Msingi):
  1. Astashahada ya Mipango ya Maendeleo Vijijini
    (Basic Technician Certificate in Rural Development Planning)
  2. Astashahada ya Utawala na Usimamizi wa Maendeleo
    (Basic Technician Certificate in Development Administration and Management)
  3. Astashahada ya Maendeleo ya Jamii
    (Basic Technician Certificate in Community Development)
  4. Astashahada ya Msingi ya Upimaji Ardhi na Ramani
    (Basic Technician Certificate in Geomatics)
  5. Astashahada ya Msingi ya Mipango Miji na Vijiji
    (Basic Technician Certificate in Urban and Regional Planning)
  6. Astashahada ya Msingi ya Uhasibu na Fedha
    (Basic Technician Certificate in Accounting and Finance)
  7. Astashahada ya Msingi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
    (Basic Technician Certificate in Information and Communication Technology)
  8. Astashahada ya Msingi katika Usimamizi wa Ardhi na Uthamini
    (Basic Technician Certificate in Land Management and Valuation)
  9. Astashahada ya Msingi katika Takwimu
    (Basic Technician Certificate in Statistics)
  10. Astashahada ya Msingi katika Uchumi
    (Basic Technician Certificate in Economics)
  11. Astashahada ya Msingi katika Sheria
    (Basic Technician Certificate in Law)
Kozi zitolewazo kwa ngazi ya Astashahada ya Msingi Chuo cha Mipango

Unaweza kutuma maombi mkupuo wa SEPTEMBA moja kwa moja chuoni kwa njia ya mtandao kupitia oas.irdp.ac.tz

 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom