K

Kuhusu usaili TRA

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nmechaguliwa kwenye usaili wa tra lkn sijapokea email yenye number ya mtahiniwa kama walivosema kwenye tangazo LA usaili Kuwa Kuna email wametuma Sasa nlikuwa naomba msaada kwa hilo
Email zitatumwa kuanzia siku ya leo au kesho/kesho kutwa. Kuwa na amani endelea kujiandaa vizuri.
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom