Kuitwa kazini Shirika la Uvuvi na Wilaya ya Mafia

Kuitwa kazini Shirika la Uvuvi na Wilaya ya Mafia Ajira portal Januari

Tangazo la Kuitwa kazini Shirika la Uvuvi na Wilaya ya Mafia. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2024 na tarehe 13-11-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Kuitwa kazini Shirika la Uvuvi na Wilaya ya Mafia

Zingatia: Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

Pakua PDF hapo chini
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom