Kuitwa kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto leo

Kuitwa kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto leo 2025

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
TAARIFA YA KUITWA KWENYE USAILI,

Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa/kuitwa kwenye usaili Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anapenda kuwatangazia kuwa vijana waliomba ajira ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kupitia mfumo wa ajira ZIMAMOTO RECRUITMENT (ajira.zimamoto.go.tz), Usaili utafanyika kuanzia tarehe 15 Disemba, 2025 hadi tarehe 20 Disemba, 2025 2025 kuanzia saa 1:00 Asubuhi kwa kila kundi.

Waombaji waliomba ajira kwa elimu ya kidato cha nne usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 15 Disemba, 2025 saa 1:00 Asubuhi kwenye mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.

Angalia hapa

kuitwa kwenye usaili jeshi la zimamoto 2025 (1).webp


Unatakiwa kuja na nyaraka halisi ulizotumia wakati wa kutuma maombi ya kazi, kama ifuatavyo:
  1. Vyeti vya kitaaluma
  2. Vyeti vya taaluma
  3. Cheti cha kuzaliwa
  4. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Namba ya NIDA (NIN)
  5. Barua ya utambulisho
  6. Barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono

Tafadhali kumbuka:
(a) Unakumbushwa kuvaa mavazi ambayo hayatazuia kukimbia.
(b) Tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi kuhusu mchakato wa ajira na tarehe yako ya usaili (kwa waombaji wa Taaluma Maalum pekee).
WhatsApp Image 2025-03-30 at 15.17.56_efdd8003.webp
 
Last edited:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom