Kuitwa kwenye usaili Masomo ya Biashara na Amali Ajira Portal

Kuitwa kwenye usaili Masomo ya Biashara na Amali Ajira Portal Ajira za Walimu 2025

Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa au kuitwa kwenye Interview (Usaili katika masomo ya amali na Biashara kutoka Ajira portal. Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapendakuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanziatarehe 17-01-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwawanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Kuitwa kwenye usaili Masomo ya Biashara na Amali Ajira Portal

Pakua PDF hapo chini
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom